1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa kilele wa Tabianchi, COP27 waanza Misri

Daniel Gakuba
7 Novemba 2022

Viongozi wa nchi zipatazo 100 wanakutana katika mji wa mapumziko wa Sharm el-Sheikh nchini Misri, kuendeleza juhudi za kimataifa za kukabiliana na ongezeko la joto duniani linaloambatana na mabadiliko ya hali ya hewa.

https://p.dw.com/p/4J9jo