1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa kibiashara na uchumi kati ya Uturuki na Afrika

21 Oktoba 2021

Rais wa Uturuki Reccep Tayyip Erdogan amefanya ziara katika nchi kadhaa za Afrika, kuelekea mkutano wa kibiashara na uchumi kati ya Uturuki na Afrika unaoanza leo na kukamilika hapo kesho. Mbaraka Jiloh anafahamu vyema masuala ya Uturuki na kwanza anaelezea umuhimu wa mkutano huu.

https://p.dw.com/p/41xoO