1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkhitaryan kutua Giuseppe Meazza

20 Juni 2022

Huko nchini Italia nako makamu bingwa Intermilan kupitia afisa mkuu mtandaji wa klabu hiyo Giseppe Marotta wamethibitisha kwamba watamsajili Henrikh Mkhitaryan.

https://p.dw.com/p/4CxXj
Fußball Italien | Serie A | Inter
Picha: Miguel Medina/AFP/Getty Images

Marotta pia amethibitisha kwamba Romelu Lukaku na Paulo Dybala ni wachezaji wanaolenga kuwasajili katika dirisha hili la usajili wa wachezaji.