1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkataba wa Israel na Umoja wa Falme za Kiarabu una tija?

Josephat Charo
21 Agosti 2020

Israel na Umoja wa Falme za Kiarabu zimesaini makubaliano mapya kuanzisha mahusiano ya kidiplomasia, huku makubaliano hayo yakisitisha mipango ya Israel ya kuzitwaa baadhi ya sehemu za Ukingo wa Magharibi. Sikiliza kipindi cha Maoni mbele ya Meza ya Duara na Josephat Charo.

https://p.dw.com/p/3hI2Q