1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mjumbe maalumu wa Papa aongoza ibada ya pole kwa wahanga wa vita, Kongo

13 Juni 2023

Mjumbe maalum wa Kanisa Katoliki aliyetumwa na Papa Francis ameongoza ibada ya pole kwa maelfu wa raia wanaohangaishwa na vita ikiwemo waumini wa Kanisa Katoliki nchini Kongo. Louis Antonio Tagle aidha amewatembelea wakimbizi wengine waliokimbia mapigano kati ya jeshi la Kongo na waasi wa M23 ambao wanahifadhiwa katika makambi nje kidogo na mji wa Goma. Benjamin KASEMBE alituarifu zaidi.

https://p.dw.com/p/4SWse