1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mji wangu: Abuja

30 Septemba 2020

Mji mkuu wa Nigeria ulio na shughuli nyingi Abuja ni miongoni mwa miji inayokua kwa haraka ulimwenguni. Pia ni kitovu cha harakati za kisiasa. Mwanablogu ambaye pia ni mwanaharakati kijana, Maryam Laushi, anatuonyesha mji wake huo.

https://p.dw.com/p/3jDUv