1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mji wa Ujerumani ulioachwa wageuzwa makaazi ya wahamiaji

10 Agosti 2023

https://p.dw.com/p/4V059

Kampuni ya uchimbaji madini ilinunua sehemu ya wakaazi ya watu kisha kuwaondoa ili kuchimba mkaa wa mawe. Lakini kwa sasa eneo hilo linatumiwa kwa shughuli tofauti kabisa. Tizama video hii ya Kurunzi Ujerumani ufahamu zaidi