1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mjadala wa katiba mpya waibuka tena Tanzania

Deo Kaji Makomba
6 Aprili 2022

Mjadala kuhusu katiba mpya Tanzania umeibuka tena huku wadau wa siasa wakishinikiza kupatikana kwa katiba mpya kama kipaumbele kwa taifa. Shinikizo hilo limetolewa wakati wa kuchangia kwenye mjadala katika mkutano wa Kitaifa wa haki, amani na maridhiano huku mwandishi mkongwe na mchambuzi wa Masuala ya kisiasa Jenerali Ulimwengu akisema hakuna utashi wa kisiasa katika kufanikisha hilo.

https://p.dw.com/p/49X6C