1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mjadala kuhusu ukomo wa rais kutawala Tanzania

Bruce Alakonya5 Februari 2021

Nchini Tanzania, chama tawala CCM kimeadhimisha miaka 44 tangu kuasisiwa kwake mnamo wakati mjadala mkubwa unaoendelea nchini humo ni kuhusu kauli aliyoitoa bungeni mbunge wa Makambako Deo Sanga, akitaka kuondolewa muda wa ukomo wa madaraka kwa Rais John Magufuli. Bruce Amani amezungumza na Joseph Butiku ambaye ni mkurugenzi mtendaji wa Wakfu wa Mwalimu Nyerere, kuhusu hilo. Sikiliza

https://p.dw.com/p/3oxGw