1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mawasiliano ya kisasa yamekuwa njia rahisi kusambaza maradhi

Bruce Amani Alakonya16 Desemba 2015

Wataalamu wa soshiolojia wanaamini kuwa mawasiliano kupitia mitandao ya kijamii yanachangia pakubwa sana kwenye kusambaa maradhi ya zinaa miongoni mwa vijana ambao hutumia mitandao hiyo kuwasiliana na kutumiana picha za matendo ya ngono.

https://p.dw.com/p/1HO98