1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mipango ya uhusiano wa EU na Afrika yasambaratika

Daniel Gakuba27 Novemba 2020

Kwenye makala ya Mwangaza wa Ulaya, leo hii tunatazama namna mipango ya kuratibu upya uhusiano baina ya Umoja wa Ulaya na Afrika ambayo ilitarajiwa kufanyika mwaka huu ilivyosambaratika. Na janga la virusi vya corona sio sababu pekee ya mkwamo huo. Mtayarishaji na msomaji ni Daniel Gakuba. 

https://p.dw.com/p/3lv77