1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Na nchini Libya mivutano ya kuwania madaraka yazusha hofu

11 Machi 2022

Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanzania Chadema Freeman Mbowe aapa kutokuvunjika moyo baada ya kupewa kesi ya ugaidi na kuachiwa huru. Serikali ya Kenya yapeleka polisi na magari ya kivita kulinda mipaka ya Baringo na Pokot Magharibi. Na nchini Libya mivutano ya kisiasa yazidi kutokota. Jiunge na Saumu Mwasimba katika Afrika wiki hii

https://p.dw.com/p/48Mc7