1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Michuano ya kuwania taifa bingwa Afrika katika soka (AFCON) kuanza Misri

21 Juni 2019

Michuano ya kuwania kombe la taifa bingwa Afrika, itaanza leo nchini Misri. Kwa mara ya kwanza timu 24 zitashiriki michuano hiyo. Mechi ya ufunguzi ni kati ya wenyeji Misri dhidi ya Zimbabwe. nchi nne za Afrika mashariki zinashiriki nazo ni Kenya, Tanzania, Uganda na Burundi.

https://p.dw.com/p/3Kpd7