Michuano ya fainali za kombe la Afrika la Mataifa, Afcon iliingia katika ngazi ya mtoano, ambapo Burkina Faso ilikuwa timu ya kwanza kuingia robo fainali baada ya kuiondoa Gabon kwa njia ya mikwaju ya penalti, ikafuatiwa baadaye na Tunisia ambayo waliizamisha Nigeria. Zaidi sikiliza tathmini ya michezo hiy kati ya Daniel Gakuba na Sekione Kitojo.