Ulaya inaadhimisha miaka 75 ya kumalizika kwa vita vya pili vya dunia baada vikosi vya NAZI vya Ujerumani kujisalimisha kufuatia vita vilivyodumu kwa miaka sita. Hata hivyo maadhimisho haya yanafanyika kimya kimya kufuatia vizuizi vya kupambana na virusi vya corona.#Kurunzi