1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka 60 ya ushirikiano kati ya Tanzania na Ujerumani

28 Oktoba 2021

Tanzania imekuwa ikishirikiana na Ujerumani kwa miaka 60. Mafanikio ya ushirikiano huo ni makubwa katika sekta mbalimbali ikiwemo utamaduni, maendeleo na utalii. Je unazungumziaje ushirikiano huo wakati ambapo Tanzania inaelekea kuadhimisha miaka 60 ya uhuru wake? #KurunziUjerumani

https://p.dw.com/p/42IS0