1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka 60 ya Umoja wa Ulaya

Dahman4 Aprili 2017

Katika kuadhimsha miaka 60 ya kuanzishwa Umoja wa Ulaya viongozi wa nchi 27 zilizobaki katika Umoja wa Ulaya baada ya kujitoa kwa Uingereza wamesaini azimio jipya la umoja lenye kuashiria mwelelekeo wa maendeleo unaotakiwa kufuatwa na nchi mwanachama. Nini hatma ya Umoja huo?

https://p.dw.com/p/2aeIx