JamiiMhandisi Rose anayetumia 'drone' kuimarisha kilimoTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiCaro Robi27.02.201927 Februari 2019Rose Funja ni mhandisi mwanamke anaetumia drones nchini Tanzania katika kutatua changamoto ya mipaka na mazao yalio hatarini kuharibika shambani.https://p.dw.com/p/3EBnLMatangazo