1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mguu bandia unaofanya kazi karibu sana na mguu wa kawaida

16 Julai 2024

Mguu huo wa plastiki uliopewa jina la SoftFoot Pro, ni mfano wa mguu bandia unaoiga muundo wa kianatomia wa mguu halisi wa binadamu. Umezinduliwa na taasisi ya teknolojia nchini Italia.

https://p.dw.com/p/4iKOG