1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mgonjwa wa mwisho wa Ebola atoka hospitali katika mji wa Beni

John Kanyunyu4 Machi 2020

Mgonjwa wa mwisho wa Ebola ameondoka hospitalini jana katika mji wa Beni, Congo wakati ni siku kumi na tano sasa bila ya kuripotiwa na kisa kipya cha maambukizi ya homa hiyo hatari. Hali hiyo inawapatia matumaini wakaazi wa mikoa ya Kivu ya kaskazini pamoja na Ituri kwamba Ebola imo njiani kutokomezwa.

https://p.dw.com/p/3YqNA