1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mfahamu Mai Zumo msichana muigizaji

29 Septemba 2023

Mai Zumo alingia kwenye sanaa ya uchekeshaji akiwa na miaka mitatu, safari yake ilianza bila ya kutaraji. Sasa ameweza kuwa kioo maridadi kwa wasanii wachanga katika sanaa ya uigizaji. Hadija Halifa anazungumza naye. #Msichana #Jasiri N.B: Hii video tunairudia kutokana na maombi ya walio wengi 🥰🥳

https://p.dw.com/p/3nyz4