1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Meza ya Duara - Ziara ya rais wa Tanzania nchini China

Khelef Mohammed4 Novemba 2022

Kipindi cha Maoni mbele ya Meza ya Duara wiki hii imewaleta pamoja wachambuzi na wataalamu wa masuala ya diplomasia kuchambua ziara ya kwanza ya rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nchini China. China ni mshirika muhimu wa maendeleo kwa Afrika na Tanzania. Lakini Afrika na Tanzania zinapaswa kuwa na jicho la tahadhari katika uhusiano wake na China?

https://p.dw.com/p/4J4Ti