1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vyombo vya habari na vita dhidi ya COVID-19

13 Aprili 2020

Wakatia dunia ikielekeza nguvu zake kwenye kupambana na mripuko wa kirusi cha corona, uhuru wa waandishi wa habari na haki za binaadamu kwa ujumla unajikuta tena majaribuni, kwa baadhi ya tawala kupata sababu ya kuchukuwa hatua za kikandamizaji kwa jina la kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19. Je, kwenye mazingira kama hayo, ni upi wajibu wa waandishi wa habari?

https://p.dw.com/p/3aoit