1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Meza ya Duara: Mataifa ya Afrika Mashariki na AFCON 2027

Josephat Charo29 Septemba 2023

Kipindi cha Maoni mbele ya Meza ya Duara kimewaleta mezani wadau wa soka kujadili ushindi wa mataifa matatu ya Afrika Mashariki ya kuwa wenyeji wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON, mwaka 2027. Josephat Chatro ameongoza mjadala huo.

https://p.dw.com/p/4WxYr