1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Masuluhisho kupitia habari

19 Juni 2024

Zaidi ya miaka 40 baada ya kupitishwa kile kiitwacho Mfumo Mpya wa Kilimwengu wa Habari na Mawasiliano (NWICO) kwa ajili ya kuipa nafasi Dunia ya Tatu kusikika kwenye vyombo vya habari kwa haki, lakini kwa namna gani Afrika imeweza kuhadithia hadithi yake? Mohammed Khelef anaongoza mjadala akiwashirikisha Antony Diallo, Patricia Andago na Esther Asimwe.

https://p.dw.com/p/4hCnc