1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Meza ya Duara: Kukamatwa kwa Kabuga na siasa za kimataifa

22 Mei 2020

Baada ya miaka 26 ya kukimbia na kujificha, hatimaye mmoja wa washukiwa wakuu wa mauaji ya kimbari ya Rwanda mwaka 1994, mfanyabiashara Felicien Kabuga amekamatwa kwenye viunga vya mji mkuu wa Ufaransa, Paris. Lakini maswali yanayoulizwa ni vipi aliweza kutotambulika licha ya kuishi kwenye mataifa zaidi ya matano ulimwenguni, matatu kati yao yakiwa ya Ulaya Magharibi ndani ya kipindi chote hicho.

https://p.dw.com/p/3cdMo