1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaAsia

Meza ya Duara: Shinikizo la kimataifa kwa utawala wa Taliban

5 Mei 2023

Kwenye Maoni Mbele ya Meza ya Duara, Mohammed Khelef anaongoza mjadala juu ya shinikizo la kimataifa kwa utawala wa Taliban nchini Afghanistan, ambao umeendelea kulaumiwa kuminya haki za wanawake, kutokuunda serikali shirikishi na kushindwa kurejesha usalama takribani miaka miwili baada ya kuingia madarakani. Wachangiaji ni Ahmed Rajab, Abdul-Fattah Mussa na Ibrahim Rahbi.

https://p.dw.com/p/4QxnI