1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Meza ya Duara: Burundi miaka 30 baada ya mauaji ya Ndadaye

22 Oktoba 2023

Kwenye Maoni Mbele ya Meza ya Duara wiki hii, Saumu Mwasimba anaongoza jopo la wachambuzi kuiangalia miaka 30 ya taifa la Burundi bila kiongozi wake, Melchior Ndadaye, aliyeuawa kwenye ajali ya ndege tarehe 21 Oktoba 1993.

https://p.dw.com/p/4XsHS