1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Meta na Google zazindua huduma mpya kwa watumiaji

Hawa Bihoga5 Oktoba 2022

Bado gumzo zito linaendelea katika soko la tehama juu ya ujio wa simu mpya ya Iphone 14 pamoja na matoleo yake. Wakati gumzo halijapoa mwezi wa Oktoba kampuni nyingine za tehama Google na Meta zinakuja na ujio mpya wa bidhaa na huduma. Pata zaidi juu ya yote hayo kupitia makala ya Sema Uvume inayosimuliwa na Hawa Bihoga.

https://p.dw.com/p/4HldT