1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mengi hayajajibiwa kuhusu moto wa Makerere

Lubega Emannuel (HON)21 Septemba 2020

Maswali yanaongezeka nchini Uganda kuhusiana na moto uliounguza jengo kuu na la kihistoria la chuo kikuu cha Makerere mwishoni mwa wiki. Polisi inasema inaendelea na uchunguzi baada ya kuwakamata walinzi wawili. Wananchi na walimu wanahoji kama moto huo ulikuwa wa makusudi au la. Mwandishi wetu Lubega Emmanuel alitutumia ripoti hii. Sikiliza.

https://p.dw.com/p/3inl7