1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Membe na Kinana warejea CCM

31 Machi 2022

CCM imewarejesha vigogo wake Abdulrahman Kinana na Bernard Membe. Kinana anachukua nafasi ya Philip Mangula ambae alikuwa makamo mwenyekiti. Sudi Mnette amezungumza na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Shaka Hamidu Shaka kwanza alihoji CCM inataka mabadiliko gani katika mwenendo wake kwa kuchukua hatua hiyo.

https://p.dw.com/p/49Id0