1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Meli ya UN iliyobeba nafaka yaelekea Afrika kutoka Ukraine

19 Agosti 2022

MV Brave Commander iliondoka wiki hii katika bandari ya Bahari Nyeusi ya Pivdennyi na itasafiri hadi Djibouti kwa ajili ya kushusha shehena ya nafaka itakayopelekwa Ethiopia. Meli hiyo imebeba tani 23,000 za ngano.#Kurunzi

https://p.dw.com/p/4Fnlw