1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mdahalo wa wagombea wenza wafanyika Kenya

20 Julai 2022

Wagombea wenza wa kinyang'anyiro cha urais wa Kenya wametofautiana vikali kwenye masuala ya uadilifu wakati wa mdahalo uliofanyika Jumanne usiku. Manaibu wa rais 4 watarajiwa walishiriki mdahalo wa taifa ambapo walinadi sera zao na kutetea ilani za vyama vyao. Hii hapa ni ripoti yake mwandishi wa DW kutoka Nairobi, Thelma Mwadzaya.

https://p.dw.com/p/4EOyk