1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maishaAfrika

Mchango wa Afrika katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia

Saumu Yusuf27 Aprili 2023

Utamaduni na sanaa unakupeleka Afrika Kusini ambako mwanafilamu wa kiafrika Kusini ameiweka dhima ya Waafrika katika vita vya kwanza vya dunia kupitia filamu iliyooneshwa kwenye jukwaa la Johannesberg, ikiwa ni kwa mara ya kwanza filamu hiyo kuoneshwa barani Afrika

https://p.dw.com/p/4Qd4S