1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mchambuzi azungumzia onyo la IMF dhidi ya deni la Kenya

Babu Abdalla13 Mei 2020

Shirika la kimataifa la fedha IMF limetoa onyo kwa Kenya kuhusu kuongozeka kwa madeni yake. IMF imesema kuwa deni la Kenya limepanda kutoka kiwango cha wastani hadi kiwango cha juu. Deni la Kenya limefika asilimia 61.7 ya pato jumla ya nchi. Babu Abdallah amezungumza na mchumi Makoya Muraya kutoka Mombasa pwani ya Kenya kuhusiana na athari za deni hilo kwa serikali ya Kenya ni zipi?

https://p.dw.com/p/3cANI