1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mchakato wa Ukraine na Moldova kujiunga na Umoja wa Ulaya

Josephat Charo
29 Juni 2022

Viongozi wa Umoja wa Ulaya wa kuipatia Ukraine na Moldova hadhi ya kuwania uanachana wa kujiunga na Umoja huo. Hii ina maana gani, imepokelewa vipi na inaweza kuchukua muda gani hadi mataifa hayo kuwa wanachama rasmi wa Umoja wa Ulaya?

https://p.dw.com/p/4DR22