1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mchakato wa kusafisha Daftari la Wapiga Kura wasuasua Kenya

Thelma Mwadzaya1 Machi 2022

Mchakato wa kulisafisha daftari la wapiga kura unasuasua nchini Kenya ikiwa imesalia miezi 5 kabla ya uchaguzi mkuu. Dhamira ya shughuli hiyo ni kuondoa majina ya waliosajiliwa zaidi ya mara moja na waliofariki dunia.

https://p.dw.com/p/47lkh