1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mchakato wa kukomesha dhulma kwa waandishi Kenya wakati wa uchaguzi

3 Agosti 2022

Baraza la vyombo vya habari nchini Kenya limewaleta pamoja waandishi wa habari na idara ya usalama kutathmini wanavyoweza kudumisha uhusiano na kukomesha matukio ya dhuluma kama vile kunyimwa habari na kunyanyaswa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi. Baraza hilo limerekodi zaidi ya matukio 50 ya dhuluma kwa waandishi wa habari kuanzia Januari mwaka huu. Msikilize Wakio Mbogho kutoka Nakuru.

https://p.dw.com/p/4F3Op