1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu

Sudi Mnette18 Februari 2022

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi ya Tanzania imeamuru kuwa mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini humo Chadema, Freeman Mbowe pamoja na wenzake watatu kuwa na kesi ya kujibu. Sudi Mnette amezungumza na Dokta Rugemeleza Nshala, rais wa chama cha wanasheria cha Tanganyika TLC

https://p.dw.com/p/47FIu