1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mbowe azungumzia katiba na tume ya uchaguzi

18 Machi 2022

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema kimesema kitaendeleza msimamo wake wa kudai katiba mpya ya Tanzania licha ya tofauti iliopo na vyama vingine vinavyodai uwepo wa tume huru ya uchaguzi kabla ya kupatikana katiba mpya. Hayo yameelezwa na mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe katika mkutano wake wa kwanza na wanahabari tangu kuachiwa huru.

https://p.dw.com/p/48gOh