1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sheria na HakiKenya

Mbiu ya Mnyonge: Madhila ya wanawake Pwani ya Kenya

Halima Gongo19 Januari 2023

Ongezeko la visa vya ukiukaji wa haki za binadamu hasa kwa wanawake katika eneo la Pwani ya Kenya ni jambo lililochangia kuweko kwa mashirika mengi ya kuwatetea wanawake hao wanaodhulumiwa. Human Rights Agenda ilianzisha mpango wa kuwapa mafunzo wanaharakati na kuimarisha uwezo wao wa utetezi wa haki ili waifanye kazi hiyo kwa ustadi. Halima Gongo anamulika juhudi za wanawake hao.

https://p.dw.com/p/4MQaf