1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matumizi mabaya ya sheria za ugaidi Afrika Mashariki

1 Februari 2023

Kwa jina la kupambana na ugaidi serikali nyingi kutumia vyombo vyake vya dola kufanya kile kile ambacho kinafanywa na ugaidi – yaani kudhulumu haki za raia na kuvunja utu na ubinaadamu wao. Mbiu ya Mnyonge hivi leo inaangazia jinsi sheria za kupambana na ugaidi zinavyotumiwa vibaya katika mataifa ya Afrika ya Mashariki, ikijikita hasa mataifa jirani ya Tanzania na Kenya.

https://p.dw.com/p/4MyOA