1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mbiu ya Mnyonge: masaibu ya wanawake wanaotafuta ajira Uarabuni

Wakio Mbogho9 Februari 2023

Wasichana na kina mama waliokuwa wameahidiwa na mawakala wao kwamba wangesafirishwa kwenda kufanya kazi nchini Saudi Arabia wamekwama mjini Nakuru na wanadai kulaghaiwa na mawakala wao. Wakenya wanazidi kusafiri katika mataifa ya Mashariki ya kati kutafuta kipato, wakiwa na matumaini ya kuboresha maisha yao, licha ya tahadhari inayotolewa kufuatia ripoti chungu nzima za dhuluma na udhalilishaji.

https://p.dw.com/p/4NIXd