1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mbiu ya Mnyonge: Madhila ya wahamiaji wa Kiafrika Tunisia

Saleh Mwanamilongo19 Aprili 2023

Baada ya kuaandamwa kwa wahamiaji wa Kiafrika nchini Tunisia na kusababisha wengi kuondoka kwa maboti ya wasafirishaji watu kwa magendo kuelekea nchini Italia, raia wa nchi za Kiafrika bado wamebakia hawana makaazi wala ajira nchini humo

https://p.dw.com/p/4QIpT