1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mbiu ya mnyonge: Idadi ya watu walionyongwa mwaka 2022 yaongezeka

Saleh Mwanamilongo30 Mei 2023

Mnamo mwaka 2022, shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International lilirekodi ongezeko la asilimia 53 ya adhabu ya kifo ulimwenguni ikilinganishwa na mwaka 2021. Idadi ya watu walionyongwa mwaka 2022 ilifikia kiwango chake cha juu zaidi katika kipindi cha miaka mitano. Hali ikoje, katika nchi za Afrika mashariki na kati?

https://p.dw.com/p/4Ryo4