1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mbio za Bundesliga ni za farasi watatu

21 Februari 2023

Borussia Dortmund na Union Berlin zilikigeuza kipigo cha Bayern Munich mwishoni mwa wiki hii kuwa faida kwao kwa kutoshana pointi na miamba hao wa Bavaria kileleni mwa msimamo wa Bundesliga. Hicho ndicho kinyang’anyiro kikali zaidi cha ubingwa kuwahi kushuhudiwa Ujerumani kwa miaka mingi. Bruce Amani amezungumza na mchambuzi Sekione Kitojo

https://p.dw.com/p/4NlIY