1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mazungumzo yamekwama baina ya Ukraine na Urusi

30 Machi 2022

Mazungumzo ya jana mjini Istanbul yalitoa matumaini ya kumaliza vita hivyo ambavyo vimewauwa maelfu ya watu na kusababisha Waukraine milioni nne kuikimbia nchi. Mazungumzo hayo yalitarajiwa kuendelea leo lakini pande mbili za mzozo huo ziliamua kurejea makwao kwa ajili ya mashauriano zaidi.

https://p.dw.com/p/49F4X