1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mzozo wa Burundi wajadiliwa Arusha

Charles Ngereza23 Mei 2016

Mazungumzo ya kutafuta amani nchini Burundi yanaendela jijini Arusha, Tanzania. Kufikia leo wajumbe wapatao 83 wenye masilahi katika mgogoro huo, wanaendelea na majadiliano. Kupata zaidi tegea sikio matangazo yetu ya mchana.

https://p.dw.com/p/1Istg

Msikilize mwandishi wetu Charles Ngereza anayefuatilia mazungumzo hayo kwa karibu mjini Arusha