1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mazungumzo ya kuleta amani yafanyika Burundi

4 Agosti 2016

Baada ya Burundi kukataa UN kutuma polisi wake 228 nchini humo, Katibu Mkuu mpya wa kongamano la amani na usalama katika nchi za maziwa makuu amewasili Burundi kwa mazungumzo na viongozi wa nchi.

https://p.dw.com/p/1JbRy
Polisi Burundi
Picha: picture-alliance/AA/N. Renovat

[No title]