1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mazraoui na Sabitzer kukosa mazoezi Qatar

Josephat Charo
6 Januari 2023

Timu zimeendelea kujiandaa kwa duru ya pili ya ligi kuu ya Bundesliga huku klabu ya Bayern Munich ikielekea Qatar kwa kambi yao ya mazoezi bila Noussair Mazraoui na Marcel Sabitzer. Maandalizi ya Bayern yanaathirika vipi? Sikiliza mahojiano kati ya John Juma na Josephat Charo wa dawati la michezo la DW Kiswahili.

https://p.dw.com/p/4Lpkv